MASWA DEVELOPMENT COMMUNITY

Thursday, September 10, 2009

MSIMU WA PAMBA MASWA

Msimu wa pamba  sasa umeingia... Kipindi hiki nikipindi cha kujipatia mafao kutoka kwa kazi ya kilimo. Je, kipato kinachopatikana kinaweza kutukomboa kiuchumi? Bila shala nijambo linalowezekana.

Wednesday, September 2, 2009

Hospitali Ya Maswa Kimbilio la Wakazi toka Meatu.

Ninakumbuka miaka ya 1990....baada ya kuangukia kwenye majembe ya kukokota na ng'ombe.. ajali iliyosababisha nikatike ulimi..lakini hospitali hii ya Maswa ndiyo iliyofanya niwe na uwezo wa kuongea tena, pia kuonja vitu vitamu.

Leo nimefarijika sana kuona kuwa hospitali ya Maswa nikimbilio la wakaazi wa wilayani Meatu...

Sababu zilizo elezewa kuwa zina fanya hilo litokee ni kutokana na ukweli kuwa huduma za hospitali hii ni nzuri ukilinganisha na zile za Hospitali ya Meatu.