MASWA DEVELOPMENT COMMUNITY

Wednesday, September 2, 2009

Hospitali Ya Maswa Kimbilio la Wakazi toka Meatu.

Ninakumbuka miaka ya 1990....baada ya kuangukia kwenye majembe ya kukokota na ng'ombe.. ajali iliyosababisha nikatike ulimi..lakini hospitali hii ya Maswa ndiyo iliyofanya niwe na uwezo wa kuongea tena, pia kuonja vitu vitamu.

Leo nimefarijika sana kuona kuwa hospitali ya Maswa nikimbilio la wakaazi wa wilayani Meatu...

Sababu zilizo elezewa kuwa zina fanya hilo litokee ni kutokana na ukweli kuwa huduma za hospitali hii ni nzuri ukilinganisha na zile za Hospitali ya Meatu.

No comments:

Post a Comment